Monday, March 10, 2008

VIZA KWENDA KWA BUSH

Serikali mzee kichaka imetoa ofa kwa mtanzania yeyote anayetaka kwenda kwake kutalii, kusoma au kufanya biashara kupewa kipaumbele na wamerahisisha upatikanaji wa viza hizo, kwa hiyo sasa hivi kama una pesa yako ukiota tu uko wa mzee kichaka basi waweza kutekeleza ndoto yako.
Na kwa wale wenzangu wakuchukua nondos sasa nao itakuwa rahisi kwani ukerewe kwenyewe ni shida sana

No comments: