Thursday, October 16, 2008

VIZA KWENDA KWA BUSH

VIZA KWENDA KWA BUSH Serikali mzee kichaka imetoa ofa kwa mtanzania yeyote anayetaka kwenda kwake kutalii, kusoma au kufanya biashara kupewa kipaumbele na wamerahisisha upatikanaji wa viza hizo, kwa hiyo sasa hivi kama una pesa yako ukiota tu, uko wa mzee kichaka basi waweza kutekeleza ndoto yako.Na kwa wale wenzangu wakuchukua nondos sasa nao itakuwa rahisi kwani ukerewe kwenyewe ni shida sana.
Hii ofa ilitoka muda kidogo lakini kama una bahati yako unaweza kuwin

VIZA KWENDA KWA BUSH

VIZA KWENDA KWA BUSH Serikali mzee kichaka imetoa ofa kwa mtanzania yeyote anayetaka kwenda kwake kutalii, kusoma au kufanya biashara kupewa kipaumbele na wamerahisisha upatikanaji wa viza hizo, kwa hiyo sasa hivi kama una pesa yako ukiota tu, uko wa mzee kichaka basi waweza kutekeleza ndoto yako.Na kwa wale wenzangu wakuchukua nondos sasa nao itakuwa rahisi kwani ukerewe kwenyewe ni shida sana

Monday, March 10, 2008

VIZA KWENDA KWA BUSH

Serikali mzee kichaka imetoa ofa kwa mtanzania yeyote anayetaka kwenda kwake kutalii, kusoma au kufanya biashara kupewa kipaumbele na wamerahisisha upatikanaji wa viza hizo, kwa hiyo sasa hivi kama una pesa yako ukiota tu uko wa mzee kichaka basi waweza kutekeleza ndoto yako.
Na kwa wale wenzangu wakuchukua nondos sasa nao itakuwa rahisi kwani ukerewe kwenyewe ni shida sana

Tuesday, January 1, 2008

Introduction

Dear readers

First of let me say Happy New Year to you all.



Please join me in this blog to start this new year with new and fresh mind.



Its me

Bro. John Kwalazi